Urban by Elleven Sparks
Mtandao wetu wa matangazo na skrini. Urban inaweka brands kwenye LED totems, nguzo na billboards, inakodisha na kuuza LED screens, na inaendesha matangazo juu yake.
Pia ni jina la mfumo wetu wa biashara kwa wauzaji wa Tanzania, uliojengwa ili kununua kupitia WhatsApp kuwe kwa mguso mmoja.



